Siku moja baada ya mamlaka ya usalama barabarani NTSA kupiga marufuku kwa muda leseni za usafiri za kampuni ya mabasi ya Modern Coast kufuatia visa vya ajali barabarani vilivyohusisha mabasi hayo.
Wasafiri waliotarajia kusafiri kutumia mabasi hayo walisalia kuhangaika siku ya pili huku kampuni zingine zikichukuwa fursa hiyo kuwakandamiza wasafiri kwa kuongeza ada ya usafiri kutoka jijini Mombasa mara dufu.
Ещё видео!