Mheshimiwa Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi na Ulinzi na Usalama Dkt. Samia Suluhu Hassan alimkabidhi Mwenge wa Uhuru pamoja na Bendera ya Taifa Mkuu wa Majeshi nchini Tanzania ,Jenerali Jacob Mkunda kwa lengo la kupandishwa katika Mlima Kilimanjaro ikiwa ni sehemu ya maazimisho ya miaka 60 ya Mwenge wa Uhuru .
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob Mkunda aliapa kupandishwa kwa Mwenge wa Uhuru katika Mlima Kilimanjaro ikiwa ni sehemu ya kuhitimisha mbio za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2024.
Na hii makala ni kielelezo cha kukamilishwa kwa Maagizo ya Mheshimiwa Rais ,Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Ещё видео!