Miezi kadhaa ijayo, Tanzania itaingia katika uchaguzi wa serikali za mitaa, lakini hamasa kwa wanawake kugombea katika nafasi mbalimbali za uongozi imekuwa chini sana pamoja na kwamba wanakidhi vigezo.
Ni vikwazo vipi vinavyowafanya wanawake washindwe kushiriki katika nafasi hizi? Mchambuzi anaeleza zaidi. Hii ni MORNING TRUMPET.
Ещё видео!