Kuna msemo kwamba kwenye kila mafanikio ya mwanaume nyuma yupo mwanamke. Ndivyo anavyoamini pia Rais Magufuli kwamba ndoa ina mchango wa kumfanya kiongozi kuwa bora zaidi.
Kwa kauli hii Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Patrobas Katambi na Mkurugenzi wa jiji hilo Godwin Kunambi wana kazi ya kufanya kuhusu hilo, baada ya Rais Magufuli kuwahamasisha kuingia katika ukurasa huo wa maisha kwa kuwa wana dhamana kubwa ya uongozi kwenye Jiji la makao makuu ya nchi.
Hii ilikuwa ni sehemu ya ucheshi kwenye hotuba yake wakati wa kufungua Jengo la Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji katika makao makuu ya Jeshi hilo jijini Dodoma.
#Dodoma #AzamNews #JPMDodoma #Magufuli #RaisMagufuli
Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► [ Ссылка ]
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: [ Ссылка ]
►INSTAGRAM: [ Ссылка ]
►TWITTER: [ Ссылка ]
►FACEBOOK: [ Ссылка ]
►WEBSITE: [ Ссылка ]
Ещё видео!