Producer:Unspoken Salaton
All rights reserved
Copyright© 2024 KMID,Kampus D&L
Written and performed by Astonishing Gee
Special credits to Black Market Records
Under exclusive license to Black Market Records
CHORUS
Kujini,Kujinice
Kujini,kujinice
Kujini,kujinice
Kujini,Kujinice
VERSE 1
Eka ka dance move from right to the left
Na zikishika Sana unatoa hadi Vest
Luku ni best nimepiga set it
Nadai kuchachisha me nadai fitness
Msupa ako fine amenikunywa bila Crest
Hadi nabaki nkipiga statue nkijinice
CHORUS
Kujini,Kujinice
Kujini,kujinice
Kujini,kujinice
Kujini,Kujinice
VERSE 2
Leo lazima ijipe
Nikona rende na mbogi so ukicross c ni ngori
Cdai za shukiwa we adisia za choki
Anadai curb itisha uber itisha moti
Ju inakua vibes nyama choma pigs story
Ucwai kuja bash ka huja sosi
CHORUS
Kujini,Kujinice
Kujini,kujinice
Kujini,kujinice
Kujini,Kujinice
Follow everything on Astonishing Gee
Tiktok:tiktok.com/@astonishinggeemusic8
YouTube:[ Ссылка ]
#trending#arbantone#astonishing gee#new song #KUJINICE
Ещё видео!