UNYAMA: BABA AMBAKA MTOTO WAKE WA DARASA LA 7, MTOTO ASIMULIA - "ALISEMA NIKISEMA ATANIVUNJA MIGUU"
Mseveni Mchele mwenye umri wa moaka 35 mkazi wa kahama mkoani Shinyanga anashikiriwa na jeshi la polisi kwa tuhuma ya kumbaka mtoto wake wa kufikia mwenye umri wa miaka 12 Mwanafunzi darasa la saba.
Wasafi Medi imefika na kuzungumza naMhanga wa tukio hilo ambaye jina lake limehifadhiwa alikiri kubakwa na baba yake wa kambo kwani alikuwa anamletea Chipsi na Kimiminika cheupe chenye asili ya Kilevi ambacho alikuwa anamlazimisha kunywa kwa madai kuwa ni dawa ya kutibu ugonjwa wa UTI.
Afisa ustawi wa jamii wa manispaa ya Kahama Abrahaman Nuru akizungumza kwa njia ya simu amesema mtu huyo ilikiri kufanya kitendo hicho.
Kufatia tukio hilo tumemtafuta kamanda wa Polisi mkoa wa Shinyanga ACP Janeth Magomi ili kupata undani wa tukio hilo.
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: [ Ссылка ] || [ Ссылка ]
TWITTER: [ Ссылка ] || [ Ссылка ]
FACEBOOK: [ Ссылка ]
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Ещё видео!