Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametaka kuharakishwa mchakato wa kukipitisha rasmi Kiswahili kuwa miongoni mwa lugha nne za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari leo Alhamisi Agosti 18, 2022 na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus, mkuu huyo wa nchi yupo Jamhuri ya Demokrasi ya Congo kushiriki mkutano wa 42 wa nchi za Jumuiya hiyo.
Ещё видео!