Composed by Ochieng Odongo
Audio and Video by Mbegu Nyingine Productions 0726468579/0787972360
HATUTOKI HAPA
(Hatutoki hapa – hatutoki hapa (sisi) x2. Leo, Usipotubariki hatutoki hapa x2.)
Wewe unayo maneno, maneno ya uzima, na Baraka zako ni tele kwa watu mbalimbali.
Kwa Baraka zako mwenyezi uligeuza maji yakawa divai katika arusi Galilaya.
Kwa Baraka ukawalisha watu elfu tano, kwa mikate mitano pia kwa samaki wawili.
Ukisema utabariki hakuna wa kuzuia, maneno yako ni hakika tena ni ya adili.
Utume roho wako Bwana aje kutuongoza, basi hatutatoka hapa usipotubariki.
Ещё видео!