Karibuni wapenzi watazamaji kutazama wimbo wetu mpya unaoitwa MBALI KULE NASIKIA ulioimbwa na KWAYA YA FAMILIA TAKATIFU kutoka KANISA KUU LA MATAKATIFU YOSEFU JIMBO KUU KATOLIKI LA DAR ES SALAAM. uliopo katika album inayoitwa MALAIKA NJOONI ambayo ni Toleo letu la 9. kwa mahitaji ya DVD hii tafadhali walisiliana nasi kwa simu namba +255755816669/757560764.
VIDEO BY: JUGO MEDIA
Mawasiliano
Kwaya ya FamiliaTakatifu
Kanisa Kuu la Mt. Yosefu DSM
SLP 167, Dar es Salaam
0755816669 Mwenyekiti
0766094048 Katibu
Instagram @kft_stjosephdar
Youtube: Kwaya ya Familia Takatifu St. Joseph Cathedral DSM
MBALI KULE NASIKIA
@ (traditional)
Mbali kule nasikia malaika wa mbinguni,
Wakiimba wengi pia wimbo huo juu angani:
Gloria in excelsis Deo,
Gloria in excelsis Deo.
Wachunga tuambieni sababu ya nyimbo hizo?
Mwenye kuimbiwa ni nani, juu ya nani sifa hizo?
Je hamjui jambo kuu la kuzaliwa Mwokozi?
Habari ya wimbo huo ndiyo kumshukuru Mwenyezi.
Kweli, nasi twende hima, tufike kule aliko,
Tuone mtoto na mama, tuwasalimie huko.
ANGELS WE HAVE HEARD ON HIGH
Angels we have heard on high,
Sweetly singing o'er the plains
And the mountains in reply,
Echoing their joyous strains.
Gloria in excelsis Deo,
Gloria in excelsis Deo.
Shepherds, why this jubilee?
Why your joyous strains prolong?
Say what may the tidings be
Which inspire your heav'nly song?
Come to Bethlehem and see,
Him whose birth the angels sing
Come adore on bended knee,
Christ the Lord, the newborn King.
See within a manger laid,
Jesus, Lord of heav'n and earth
Mary, Joseph, lend your aid,
With us sing our Savior's birth.
Ещё видео!