INTRO
Thz is DANITO
pon New Globe Art Factory yeh yeh yeh
Hii ni ya Ma yut.....
CHORUS
Mayut wa today
Eh ah
tunapata shida tele
Eh eh
Mayut wa today
Eh ah
mateso ni daily
No no....*2
1. 2na blame hi system ju imeja mabuda
wataki twende mbele siku zote nyuma
lawama 2kibeba visu na michuma
kubaguliwa aki ya nani inatu uma
2kipanda 2na rudishwa under
wataki jo tuuze ata nyanya kwa vibanda
Gava siku zote kazi yao kutuhanda
woi jo Mayut ni wapi 2taenda
CHORUS
2. Ati wanadai c ndo leaders wa kesho
lakini hawajali 2kipata mateso
hi generation 2naumia bana
kuchorwa SOJA lazma kujuana
wazee wa vijiji ni wachokozi
kuteka jo viwanja za kupiga zoezi
kupigana tuna chochwa na viongozi
si wengine ni cc 2 ma yut
CHORUS.
3. Kumeza Junky ni cc vijana
ju ya dimanga ma yut wamejaa
cheki Langata vile wengi wamedai
kamiti ni Ratio ya mayut iko high
wamesoma lakini hakuna kazi
wasani cku izi majambazi
ju kwa radio hatupati jo nafasi
woi jo mayut ni wapi tutaenda
4. Di yut of 2day, di yut of 2day
we under heavy heavy manners yeah
I went downtown fi go buy news paper di price adi paper mek mi shout a loud cuh dis yah judgement time.
OUTRO
Mayut wa Nairobi
Mayut wa Nakuru
Mayut wa Mombasa
Mayut wa Kisumu
Limuru, Kericho
Muranga na Nyeri...
Theka, SHANTIT,
MUOROTO na kwetu MATHARE....
Ещё видео!