ASIFIWE MUNGU-F.KASHUMBA
1. Asifiwe Mungu, (baba) na mwana na roho (Mtakatifu)
Kwa sababu ametufanyizia huruma yake. x2
2. Utatu mtukufu (Mungu) yeye Mungu mmoja (Nafsi tatu)
Ni Mungu Baba Mungu Mwana na Roho Mtakatifu. x2
3. Nafsi hizo tatu (Mungu) kazi kugawana (Ni za Mungu)
Baba Muumba Mwana mwokozi roho ni mfariji. x2
4. Usifiwe Mungu (Baba) wewe Muumbaji (Vitu vyote)
ulimwengu watu wanyama mimea umeumba. x2
5. Usifiwe Mungu (Mwana) mwokozi wa watu (duniani)
Kristu alikufa alifufuka tukaokoka. x2
6. Usifiwe Mungu (Roho) Mfariji wa watu (Kwao Mwanga)
vipaji watoa kwa watu wote tuvitumie. x2
7. Sisi wana wako (Mungu) hatuna budi (kukusifu)
Tumwabudie tumsujudie tumpende daima. x2.
Mt. Kizito Makuburi - Asifiwe Mungu (Live performance)
Теги
nyimbo za kanisa katoliki tanzanianyimbo za kanisa halisi la mungu babanyimbo za kanisa jipya la mitumenyimbo za kanisa halisi la mungu baba audionyimbo za kanisa la romanyimbo za kanisa la nenonyimbo za kanisani za watotonyimbo za kwaresma kanisa katolikinyimbo za kwaresma kanisa katoliki mixnyimbo za pasaka kanisa katolikinyimbo za kwaresma kanisa kkktnyimbo za kuingia kanisaninyimbo za ndoa kanisa katoliki