Isaya 38:1-5
Kifo cha kabla ya wakati mara nyingi huwa kinarithishwa kutoka kizazi kwenda kizazi, ndio maana kuna koo fulani huwa hawavuki umri fulani,mtu akifika umri huo lazima afe. Watu hawa kikifika kipindi hiki huwa wanakutana sana na hofu,hofu ya mauti..wanakuwa wanahisi wanakufa, inaweza kuja kwa njia ya ndoto au hata mawazo.
Hezekia aliugeukia ukuta(yaani hazina), kuna hazina zake zilikuwa kwa Bwana.Kila wakati unapoyaishi mapenzi ya Mungu na kufanya maagizo yake unakuwa unajenga ukuta wako.Hezekia anamkumbusha Mungu juu ya matendo yake mema aliyoyatenda,na kutokana na hayo Mungu akabadilisha kauli ya Hezekia kufa na akamuongezea miaka ya kuishi.
Mfano mzuri ni Dorcas, kilichomfanya Mungu amfufue ni kwa sababu alikuwa akiwahudumia sana wanawake wajane kupitia mavazi, wanawake wale walilia sana kwa Mungu kuwa Dorcas akiondoka basi hatakuwepo mtu mwingine wa kuwahudumia,na kutokana na hilo Dorcas akafufuliwa. Unafanya nini kwa ajili ya Ufalme wa Mungu? Matendo yako yanamhubiri Mungu?
Kumbuka kila mara unapotenda tendo jema unakuwa unajenga ukuta wako ambayo ni hazina yako.. endelea kujenga ukuta!
UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HIZI : +255 657 173 322 AU +255 764 888 810
Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
Like our Facebook: [ Ссылка ]...
Follow our Instagram: [ Ссылка ]...
Subscribe our YouTube: [ Ссылка ]...
Also Subscribe Roc worshippers youtube channel:[ Ссылка ]
and Subscribe Pastor Sunbella Kyando YouTube
[ Ссылка ]
#RealityofChrist #PastorSunbellaKyando #PastorJohnSembatwa
ROHO YA MAUTI(MAOMBEZI) - PASTOR JOHN SEMBATWA
Теги
reality of christ ministryroho ya mautireality of christreality of christ ministry livereality of christ livereality of christ ministry you tubereality of christ ministry sunday servicereality of christ ministry live nowreality of christ ministry mateso ya familiareality of christ ministry you tube livereality of christ live todayreality of christ ministry ministry arushareality of christ ministry dodoma