Hii leo tunafunguwa rasmi daftari la Baranamiji Ya Gerezani ambapo tunaangazia kisa cha Mzee Julius Wambua anayetumikia kifungo cha maisha kwa kumbaka mwanawe ila asilolijuwa ni kwamba mwana anayedaiwa kubakwa amerudi tena na kupasua mbarika akidai kwamba mamake mzazi ndiye aliyemshawishi kutoa ushahidi wa uongo alipokuwa mdogo lau sivyo angekiona cha mtema kuni ila kwa hivi sasa amekuwa mtu mzima na maisha yake ila hana amani, na ili amani ipatikane ni sharti aseme ukweli. Kwa mara ya kwanza runinga ya Citizen imewakutanisha wawili hawa ndani ya gereza la Kamiti. #BarnamijiYaGerezani
#PrisonDairies
#LuluHassan
Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.
This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.
Follow us:
[ Ссылка ]
[ Ссылка ]
[ Ссылка ]
[ Ссылка ]
[ Ссылка ]
Ещё видео!