Kwa kawaida Hedhi huanza Tena mwezi 1 mpaka Miezi 2 mara baada ya Mimba kuharibika au tokea umesafishwa Mimba yako.
Baadhi ya Wanawake huweza kuanza kuona Hedhi yao Mwezi 1 baada tuu ya Mimba kuharibika au kutoka hivyo Mwanamke unatakiwa kuhakikisha kwamba unatumia Njia za Uzazi wa Mpango ili kuepuka kupata Mimba Tena kabla ya Miezi 6 ambapo huweza kuleta athari kwa Afya yako.
#drmwanyika
#mamaafya
#Hedhi
Ещё видео!