"Enyi watu wa Sayuni" ni wimbo unaobeba ujumbe utakaotumika kama wimbo wa mwanzo katika Dominika ya Pili ya Majilio Mwaka C wa Kanisa.
Tuendeleapo na tafakari juu ya ujio wa Masiha, karibuni kutazama wimbo huu utuongoze katika tafakari hii.
Usisahau kusubscribe na kushare link, ili kuendelea kupata nyimbo za tafakari zaidi pamoja na kuwafikishia ujumbe ndugu jamaa na marafiki.
Wimbo: Enyi watu wa Sayuni
Mtunzi: Beatus Idama
Ещё видео!