Matatizo ya kiakili miongoni mwa wanaume ,ni suala ambalo halijapewa kipaumbele ,ikilingalishwa na masuala ya jinsia ya kike licha ya matukio mengi ambayo yamechangia wengi kujitoa uhai. Wanaume wengi ambao ni waathiriwa wanasema unyanyapaa na dhana za mfumo dume katika jamii umefanya wengi wasizungumzie wanayopitia
Ещё видео!