#TUTAHESHIMIANA #daway #rappersinger #music
BASED ON LIFE REALITY
Enjoy Bongo flavor sound from Tanzania East Africa
Audio by Mafia
Video shot by Pizzo Mtena
.. Instagram : [ Ссылка ]
Facebook
[ Ссылка ]
Tiktok
[ Ссылка ]
Twitter
[ Ссылка ]
Audiomack
[ Ссылка ]
YouTube
[ Ссылка ]
..
Lyrics :
Kwanza Sielewi Iiih Masekeee, Sina La Kufanya Sina Chochote
Naishi Kwa Baba Hali Tete, Na Baba Anaishi Kwa Baba Yake
Hakuna Wa Kunifungulia Dunia,Labda Kufuli nivunje Ehh
Ndugu Zangu Tuli Tuli Wametulia,Upendo Sifuri Na Sio Punjee eeh
Hakuna Wa Kunifungulia Dunia, Labda Kufuli nivunje Ehh
Ndugu Zangu Tuli Tuli Wametulia,Upendo SifuriNa Sio Punjee eeh
Aaaah Ndo Maana Muda Mwingine Huwa Wanaroga
Na aah Aaaah Ndo Maana Muda Mwingine Me Naona Uoga
Litaumwa Jitu Nitalitolea Daamu (Tutaheshimiana Tu..)
Kama Pesa Sina Ndo Sina Maana (Tutaheshimiana Tu...)
Ndugu Ndo Wanaoforce Niwe Chakaramu (Tutaheshimiana Tu...)
Vile Pesa Sina Ndo Sina Maana (Tutaheshimiana Tu...)
Stori Za Mapenzi Penzi Natolea Wapi, Hata Sijui
Kwa Shari Nilizonazo Nishazidiwa (Aaah Nishazidiwaa...)
Hakuna Wa Kunienzi Enzi Nikipambania Haki, Navuna Uadui
Kwa Shida Nilizonazo Nishazidiwa (Aaah Nishazidiwaa...)
Mafanikio Yapo Mbali Eeeh, Hayaji Kwa Muda Hata Yadandie Mshale Eeeh, Masaa Yanavurugwa
Ni Fujo Kibepari Eeeh, Naishi Na MaYuda Navyorushiwa Mishale Eeeh,kama nyani wa shamba

Ещё видео!