Tazama full interview ya Meena Ali kwenye The Lil Ommy Podcast, hii ni Part 1 ambayo Meena ameongelea Safari yake ya Kuwa Mtangazaji hadi kukutana na Ruge Mutahaba na Salama Jabiri, Kuingia Clouds, East Africa na Bongo Star Search. Alianza Kusoma Taarifa ya Habari za Watoto Zanzibar. Alidanganya Umri ili kupata nafasi!
Part 2 - [ Ссылка ]
Part 3 - [ Ссылка ]
Ещё видео!