KAMA UNATAKA KUJENGA, ISIKUPITE HII, MABATI BEI RAHISI HIVI..!
KAMPUNI ya Waja General imetoa punguzo la bei za Mabati ya Waja katika msimu huu wa Maonesho ya Sabasaba ikiwa na lengo la kuwafikia watanzania wengi katika ujenzi wa nyumba za kisasa.
Fika katika banda la Kampuni ya Waja kwenye Maonesho ya Sabasaba yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam kwa maelezo zaidi na hata kujionea vitu mbalimbali ikiwemo vya usalama pahali pa kazi, maabara na shule tembelea katika banda hilo.
#SABASABA
[ Ссылка ]... [ Ссылка ]... Watch More Videos here: [ Ссылка ] Watch More Videos here: [ Ссылка ] Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram:
www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: [ Ссылка ] Install Global App: iOS: [ Ссылка ]
Ещё видео!