Mwanga, mwanga, mwanga! Macho yetu yameona!
Imba kuhusu MWANGA na Kiduchu, Kibena, Koba, Baraka na Mama Ndege!
Angalia Ubongo Kids kila jumamosi na jumapili saa 3 asubuhi TBC1! Na pata webisodes zote kupitia: [ Ссылка ]
Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua iliyo katika mfumo wa elimu-burudani kutoka UBONGO MEDIA ya Dar es Salaam. Inaonyeshwa kila jumamosi na jumapili saa 3 asubuhi TBC1.
[ Ссылка ]
[ Ссылка ]
[ Ссылка ]
[ Ссылка ]
An edutainment cartoon made in Africa, for Africa.
Ещё видео!