KIAMA CHA WAUZA MADAWA YA KULEVYA! SHEHENA YADAKWA
Rogers Sianga ambaye ni kamishna mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) ametangaza kiama kwa wauzaji wa madawa ya kulevya ambapo amesema kwamba katika kipindi cha Januari na Februari, kiwango kikubwa cha madawa kinachokaribia tani 1.3 kimenaswa kwenye.
Kamanda Siang'a amesema baada ya kudhibiti madawa ya kulevya, watumiaji wamehamia kwenye matumizi ya dawa za hospitali pamoja na ugoro.
Subscribe muda huu www.youtube.com/user/uwazi1 Install #GlobalPublishersApp Android: [ Ссылка ] iOS: [ Ссылка ] Subscribe [ Ссылка ]
FACEBOOK: [ Ссылка ]... TWITTER: [ Ссылка ] Visit [ Ссылка ], Subscribe [ Ссылка ] Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… [ Ссылка ] [ Ссылка ] [ Ссылка ] WEBSITE: [ Ссылка ] FACEBOOK: [ Ссылка ]... TWITTER: [ Ссылка ] INSTAGRAM: [ Ссылка ]..
Ещё видео!