Mahakama imemnusuru askofu mkuu wa kanisa la Methodist anayekabiliwa na mzozo Joseph Ntumbura . Mahakama ilitoa idhini kwa kanisa hilo kuongeza muda wa kuhudumu kwa Ntombura kwa miaka miwili zaidi baada ya wapinzani wake kujaribu kumng’atua madarakani. Kanisa hilo limekuwa na mabishano kuhusu usimamizi wa mali ya thamani ya mabilioni ya fedha za kanisa hilo.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: [ Ссылка ]
Follow us on Twitter: [ Ссылка ]
Find us on Facebook: [ Ссылка ]
Check our website: [ Ссылка ]
#KBCchannel1 #KenyaElection2022 #News #methodist
Ещё видео!