Mama Kanisa anaadhimisha Sherehe ya Moyo Mtakatifu wa Yesu sanjari na Siku ya Kuwaombea Mapadre: toba, wongofu wa ndani na utakatifu wa maisha. Mwenyezi Mungu amependa kukutana na binadamu wote kwa njia ya Moyo Mtakatifu wa Yesu. Huu ni mwaliko kwa waamini wote kuendelea kujiaminisha kwa Moyo Mtakatifu wa Yesu chemchemi ya huruma na upendo wa Mungu.
Tafadhari usiache ku Subscribe,Like, Comment na Share kwa ndugu jamaa na marafiki ili kupata taarkfa mbalimbali za matukio ya kanisa
Chach Media 💒....Ulipo Tupo Kukuletea Injili
Kwa Utume wetu #Mungu Utukuzwe na Sisi Wanadamu Tutakatifuzwe
#misalive #misa #kanisakatoliki #kwayakatoliki #familiatakatifu #denis #kulwa #deniskulwa #deniskulwagospelmedia #weproclaimthegospel #churchmedia #chachimedia #MafingaOnlineTv
Ещё видео!