Utunzi mahiri wa Marehemu Padre Aloyce Msigwa uliobeba albamu ya 8 ya kwaya ya Mt Kizito iliyotolewa mwaka 2002. Na pia ni kati ya nyimbo zilizokuwemo katika album ya kwanza ya video ya Mungu yulee .
Tunaalikwa kwa tafakari hii tulitangaze neno la Mungu lililo silaha ya mapambano katika safari yetu ya Maisha hapa duniani..
Yesu ameshinda, mtawala …Channel Administered by Huru Digital
Instagram: [ Ссылка ]
Ещё видео!