Ally Seleman Simba maarufu kama Professor, DJ Ally B… aliyejipatia umaarufu kutokana na mizuka ama Vibes zake Kwenye kazi yake na haswa hivi karibuni akiwa ndani ya Gari zake za kifahari.
Ameanza kazi toka mwanzoni mwa mwaka 2000 baada ya kumaliza Darasa la Saba… shule haikuwa kipaumbele chake.. hakupenda shule wala hakupenda kusoma, ikamlazimu kufanya kazi ngumu za ukibarua ili apate pesa.. ya kujikimu Maisha… na haikutosha akafanya mpaka kazi Kwenye Daladala na bado mambo hayakuwa mazuri..
Ещё видео!