TAREHE 1/11 / 2021 WANAKIJIJI CHA YULI KATA YA MLALE WILAYANI ILEJE MKOANI SONGWE WALIPATA MAJANGA YA KUEZULIWA MABATI NA KUBOMOKA KWA NYUMBA 36 BAADA YA MVUA KUBWA KUNYESHA NA UPEPO MKALI AMBAPO FAMILIA ZA NYUMBA HIZO ZILIBAKI KATIKA HALI MBAYA ZA MAKAZI.
LEO MBUNGE WA JIMBO LA ILEJE AMBAYE PIA NI NAIBU WAZIRI WAZIRI WA UJENZI NA UCHUKUZI MWAHANDISI GODFREY KASEKENYA AMETOA MSAADA WA MABATI NA MISUMALI YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 13 NA LAKI 5 KUSAIDIA NYUMBA ZOTE ZILIZO PATA MADHARA NA HAPA ANAZUNGUMZA ...
PIA MKUU WA WILAYA YA ILEJE ANNA GIDALIA ALIKUWA NA AYA YAKUZUNGUMZA BAADA YAKUPOKEA MSAADA HUO..
NA WANAKIJIJI WALIO PATA MADHARA HAYO WAKAWA NA HAYA YAKUZUNGUMZA..dsshabari #dss #kigoma #kimkardashian #kigomaujiji #bigsundaylive #mwanza #mwanzamwanza #dsstv #ileje #yatima #ilejefm #wasafimedia #wasafifm #dss #kigoma #kimkardashian #kigomaujiji #bigsundaylive
Ещё видео!