Mkuu wa mkoa wa Songwe, Waziri Kindamba ameliagiza Jeshi la Polisi kuwasaka waliohusika katika mauaji ya mfanyakazi wa Shirika la Ugavi wa Nishati ya Umeme nchini (Tanesco), Angel Shakinyau mwenye umri wa miaka 33 aliyeuawa usiku wa kuamkia Januari 16 mwaka huu na mwili wake kutupwa jirani na nyumba anayoishi.
Ещё видео!