Goli la dakika ya mwisho kabisa ya mchezo lililofungwa na Haji Mwambe limeipa timu ya Jamhuri ushindi wa bao 1-0 dhidi ya KVZ katika michuano ya Kombe la Mapinduzi inayoendelea visiwani Zanzibar.
Goli hilo limepatikana baada ya mnyukano mkali wa dakika 90 na zilipoongezwa dakika 2, Jamhuri walipata ‘free-kick’ karibu na lango la KVZ ambayo waliitumia vyema na kuchukua alama zote tatu.
Hili hapa bao lenyewe.
Ещё видео!