Mkurugenzi wa elimu kwa mlipa kodi kutoka mamlaka ya mapato nchini TRA Rachard Kayombo ametolea ufafanuzi juu ya kukamatwa kwa makontena tisa katika eneo la Mbezi Tank Bovu jijini Dar es Salaam ambapo mpaka sasa hivi Makontena hayo pamoja na madereva walikuwa wanafasafirisha yako chini ya ulinzi mpka wahusika watakapojitokeza.
Ещё видео!