LIVE: Mtoto wa Dudu Baya amzungumzia Baba Yake
Kufuatia sakata la Mwanamuziki wa Hip Hop Bongo, Godfrey Tumaini 'Dudu Baya' , kuanika hadharani majina ya watangazaji wa kiume wanaojihusisha na vitendo vya ushoga.
Global TV imemtafuta mtoto wa Mwanamuziki huyo anayeitwa Wille, ambaye ni Mwanamuziki wa Bongo Fleva, na amezungumzia ishu ya baba yake.
Wille amesema anachoamini Baba yake kamwe hawezi kuwa shoga licha ya kwamba naye ametajwa mitandaoni, na kuhusu suala la kutaja watangazaji wanaojihusisha na vitendo hivyo , amesema si sawa kwa upande wa haki za binadamu.
#DuduBaya #Ushoga
Watch More Videos here: [ Ссылка ] Watch More Videos here: [ Ссылка ] Website: www.globalpublishers.co.tz aceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram:
www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: [ Ссылка ] Install Global App: iOS: [ Ссылка ]
Ещё видео!