Jumamosi ya August 12 2017 ni siku ya kihistoria kwa soka la Tanzania, kwani kesho ndio siku ambayo tutamjua Rais mpya wa shirikisho la soka Tanzania TFF baada ya wajumbe kupiga kura na kumchagua mjini Dodoma. Wanaogombea Urais ni Fredrick Mwakalebela, Wallace Karia, Emmanuel Kimbe, Shija Richard, Iman Madega na Ally Mayay Tembele, unajua kila mmoja anamtazamo wake na maoni yake kuelekea uchaguzi mkuu wa shirikisho la soka Tanzania TFF unaotegemewa kufanyika kesho August 12 katika ukumbi wa mtakatifu Gasper mjini Dodoma.
Ещё видео!