Chama cha demokrasia na maendeleo chadema katika jiji la mbeya kimeendelea kupata pigo baada ya madiwani wake kurudi chama cha mapinduzi wakidai ugomvi usioisha malumabano na kupinga maendeleo
Madiwani waliohama ni HUSSEIN WASUA kata ya ITAGANO na LUCAS ELLY MWAMPIKU diwani wa kata ya Mwakibete waliohama leo saa tisa kamili alasiri
Ещё видео!