Hawa ni baadhi ya raia wa Kenya waliohamishwa kutoka Lebanon wakati wakielekea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Rafik Hariri mjini Beirut kabla ya kuanza safari yao ya kurudi Nairobi.
Wakenya 43 wamewasili katika uwanja wa JKIA mapema Ijumaa.
Juhudi za kuwahamisha ni sehemu ya mpango wa serikali ya Kenya kuwaokoa raia wake kutoka Lebanon, ambapo hali ya wasiwasi imekuwa ikiongezeka kutokana na mizozo kati ya Israel na Hezbollah.
#bbcswahili #kenya #lebanon
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili [ Ссылка ]
Ещё видео!