ZAIDI ya Wanachama 40 wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika wilaya ya Shinyanga Mjini na Vijijini wamejitokeza kuchukua fomu kwa ajili ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge katika majimbo ya Shinyanga Mjini na Solwa.
Idadi ya wanachama hao inatajwa kuwa kubwa ikilinganishwa na waliojitokeza katika uchaguzi wa mwaka 2015 ambapo pia idadi ya watia nia wanawake pamoja na vijana imeongezeka zaidi.
Wasikilize hapa baadhi ya watia nia waliochukua fomu kwa ajili ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge katika majimbo yao.
Ещё видео!