John simba ni mpigaji wa vyombo (gitaa na saxophone) na pia ni mwimbaji wa kwaya kuu @KKKTKARIAKOO ..
Nyota Yenye Nuru ni wimbo no.334 kwenye kitabu chetu TUMWABUDU MUNGU WETU(TMW).. ni Wimbo ambao unaimba pale unapotafuta nguzo ya kuegemea baada ya kupigiga kwa namna moja au nyingine.. NYOTA YENYE NURU, MWAMBA WA NGUVU , KIONGOZI WANGU..ni ni nani huyo? bila shaka ni YESU KRISTO.
Ещё видео!