Uamuzi wa kuingia kwenye matumizi ya madawa wa kulevya unaweza kuwa rahisi unaochochewa na sababu kadhaa, lakini mara tu mtu akishangia, uamuzi wa kutoka unakuwa si rahisi na unataka ujasiri mkubwa. Ambatana na Mohammed Khelef akiwatembelea wale wanaojaribu kujinasua kwenye mtego huo visiwani Zanzibar. Kurunzi 18.05.2023.
Ещё видео!