hello hello my dear how are today I have brought you a very simple way to lose weight and body at home this method does not require many things it also reduces the stomach of all kinds for example the uterus from the womb belly of beer birth belly n.k the body also reduces you grow with a good basic shape adi end and use As I directed I believe it will help you Very much thank you.
NOTE: Carrots are low in protein and low in fat like some of the fruits we eat. It also contains natural carbohydrates and is a good source of vitamins B, C and E. In addition, carrots are rich in minerals so using this method will give you results faster.
habari wapenzi wangu Leo nimewaleta njia rahisi Sana ya kupunguza tumbo na mwili ukiwa nyumbani njia hii hauihitaji vitu vingi pia inapunguza tumbo la aina zote mfano tumbo litokanalo na uzazi tumbo la bia tumbo la kuzaliwa nalo n.k mwili pia inapunguza unakua na shepu nzuri cha msingi jitaid kuangalia adi mwisho na utumia Kama nilivyoelekeza ninaimani itakusaidia Sana asantee.
NOTE: Karoti ina protini kidogo na haina mafuta kama yalivyo baadhi ya matunda tunayoyala. Pia ina asili ya wanga na ni chanzo kizuri cha vitamini B, C na E. Aidha karoti ina madini mengi ivyo ukitumia njia hii itakupa matokeo kwa haraka zaidi
Ещё видео!