Adeyum Saleh ameisawazishia Yanga kwa bao kwa shuti la maajabu dakika ya 83 na kufanya Wananchi wapate sare ya bao 1-1 dhidi ya Mtibwa Sugar. Ni katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Dimba la Jamhuri, Morogoro.
Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► [ Ссылка ]
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: [ Ссылка ]
►INSTAGRAM: [ Ссылка ]
►TWITTER: [ Ссылка ]
►FACEBOOK: [ Ссылка ]
►WEBSITE: [ Ссылка ]
Ещё видео!