BIBLICAL COUNCELING AND INTERCESSION CENTER (BCIC) MAJIMEUPE)
Ni kanisa linalopatikana Dar es Salaam, Tanzania mahali panapojulikana kama Mbagala Majimatitu kwenye barabara inayoelekea Chamanzi na Mbande. Kanisa la Kiroho likiongozwa na Askofu Michael Peter Imani likiwa na lengo ama dhumuni la kuleta watu kwa Kristo Yesu na kueneza neno la Yesu Kristo kwa mataifa yote kwa kuwa Hakuna Lisilowezekana kwa Mungu Luka 1:37
Ratiba yetu ya Ibada ya Jumapili;
Ibada ya kiingereza: Kuanzia saa 1:30 asubuhi mpaka saa 3:00 asubuhi
Ibada ya kwanza: Kuanzia saa 3:00 asubuhi mpaka saa 8:00 mchana
Wasiliana nasi kwa simu namba:
0693700717
0658 379 076
0713 158 967
Au unaweza kutufuatilia kwenye mitandao ya kijamii:
Facebook page: BCIC Majimeupe
Instagram: bcic_majimeupe
Tiktok: bcic_majimeupe
LUKA 1:37 "Hakuna Lisilowezekana kwa Mungu..."
Ещё видео!