Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema ujenzi wa Soko Kuu la Kariakoo umeshakamilika kwa zaidi ya asilimia 70 na ifikapo mwezi Oktoba mwaka huu biashara zitarejea sambamba na biashara hizo kufanyika kwa saa 24.
Sambamba na hilo Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ametoa onyo kwa watu wanaotangaza kugawanywa kwa maeneo ya kufanyia biashara sokoni hapo kwa lengo la kuwatapeli wafanyabiashara.
#AzamTVUpdates #AzamNews #HabariWikiendi #SokoLaKariakoo #BiasharaKariako
Ещё видео!