🎶Lyrics🎶
#parolechantMBaliZouloutunda
#lyricsmbalizouloutunda
Msijiswali kwanini naimba
Msijiswali kwanini nacheza
Msijiswali kwanini nafurai
Yesu amenitowa mbali
Hook 1
Mavumbini, amenitowa
Niliyekuwa sifai, leo nahesabiwa
Uzuni yangu ameifanya furaha tele
Katika yeye nimepata amani
Hook 2
Amenipa ushuhuda,
Wokovu nimepata,
Mnyonge, tena mimi mzaifu,
Nimehesabiwa haki
Mwovu aliponitafuta, Neema ya Yesu ikanifunika,
Namshukuru Mungu, kwa yote
Naimba, Amenitowa mbali
Nacheza, Amenitowa mbali
Kama leo nafurai, Amenitowa mbali
Yesu, Amenitowa mbali
#Libre_par_la_grâce
#zouloutunda
#fidelemusic
#afromusic
#afrogospel
#mastolamusic
Ещё видео!