Huu ni wimbo maalumu wa sala ya Malkia wa Mbingu uliotungwa naye ZACHARIA GERALD LYMO kwa ajili ya sifa kwa Yesu Mfufuka na umeimbwa na kwaya ya Mt Fransisko wa Asizi (SFAT) TIA
WIMBO: MALKIA WA MBINGU
COMPOSER: ZACHARIA GERALD
AUDIO & VIDEO: THE GALAXY PRO
YEAR: 2022
CHOIR: SFAT CHOIR
DIRECTOR: GORDIAN MAKURU
Maneno
KIITIKIO:
Malkia wa Mbingu ufurahi, kwani uliyestahili kumchukua aleluya amefufuka alivyosema aleluya utuombee kwa Mungu aleluya, Aleluyaaa
MASHAIRI:
1. Furahi Shangilia ee Bikira Maria kwani hakika Bwana amefufuka aleluya...
2. Ee Mungu uliyependa kuifurahisha dunia kwa kufufuka kwake Bwana wetu Yesu Kristu Aleluya...
3. Fanyiza twakuomba kwa ajili ya Bikira Maria utuombee kwake Mungu Aleluya...
KIBWAGIZO:
Ufufuko wa Bwana ni kweli, ni ushindi wa kifo na dhambi Yote alimaliza mtini pale msalabani, Sitakufa bali nitaishi nitayasimulia matendo na kuuhadithia ukuu wako siku zote x3
Na Mileleeeeeee
Ещё видео!