WAWILI WAKAMATWA WAKISAFIRISHA MADAWA YA KULEVYA BAGAMOYO
mnamo tarehe 13/1/2022 saa 11 alfajili huko barabara ya bagamoyo road wilaya ya bagamoyo mkoani pwani kufatia taarifa za intelijensia jeshi la polisi katika wilaya ya bagamoyo liliweka kizuizi barabarani na kufanikiwa kukamata gari namba t871 aina ya toyota primio rangi ya silva ikitokea morogoro kwenda bagamoyo gari hiyo ilikamatwa na viroba vitano vya madawa ya kulevya
Ещё видео!