Wengi tuna vipaji. Na kupitia vipaji vyetu tuna malengo ya kufika mbali na kuwa moja ya wasanii au watu wenye kipato kikubwa sana kutokana na kazi zetu za kisanii. Wapo waimbaji mziki, wachoraji , wahamasishaji , watangazaji , waigizaji, watengenezaji ideas za biashara , watafiti, wachekeshaji na wengine wengi. Hawa wote wanahitaji kufika juu kileleni na kujulikana wao na kazi zao. Yapo mambo ya msingi kabisa ambayo tunapaswa kufahamu na kuyafanyia kazi kwa ustadi na juhudi ili tupige hatua.
Hivyo basi MAARIFA POSTS ya A motivational diary inakuletea siri 6 ambazo unapaswa kufahamu na kufanyia kazi kwa hali yoyote ile ili kufanikiwa na kupanua wigo wa kipaji chako kujulikana zaidi.
Kwa maoni, maswali, ushauri au Mapendekezo usisite kuniandikia katika comments nami nitakujibu.
Waweza nipata instagram kama : mrfocus_tz
Whatsapp: +(255)625 503890
Twitter : PETERJASENGA1
Facebook: Asenga Peter
Karibu tushare mengi zaidi na Mungu akubariki sana !USISAHAU KULIKE & KUSUBSCRIBE ILI UZIDI KUPATA POSTS ZETU PAMOJA NA EPISODES ZA MAFUNZO!
Episode one ( FAHAMU MAADUI WA MAFANIKIO YAKO MWENYEWE ):
[ Ссылка ]
Episode Two( FAHAMU ZAIDI MATUMIZI SAHIHI YA PESA ILI KUKULETEA TIJA BAADAE) NA PIA FAHAMU MAMBO YA MSINGI YA KUZINGATIA HASA KWA WANAUME KABLA YA KUOA:
[ Ссылка ]
#Talents #maarifa #Hamasa
Ещё видео!