Hii unayo ona ni picha ya supermassive Blackhole SAGITTARIUS A* ambalo lipo katikati ya Galaxy yetu ya Milky Way na ilipigwa picha hivi juzi na hizi telescope za Event Horizon kwaiyo hii ni picha ya pili duniani ya blackhole ya kwanza ni hii hili ni blackhole kutoka galaxy ya M87.
#sagittarius #blackhole #maxtechtv
Ещё видео!