Msanii wa muda mrefu wa filamu na maigizo Abdallah Mkumbila
maarufu kwa jina la Muhogo Mchungu, amefichua sababu ya kuamua kufuga ndevu, akieleza kuwa ni kukwepa kuonekana askari polisi.
Muhogo Mchungu ametoa siri hiyo akiwa kwenye kipindi cha Nyundo ya Baruan Muhuza kilichoruka leo Oktoba 18, 2018 Azam Sports 2.
Ещё видео!