Baraza la Taifa la kudhibiti Matumizi ya Dawa za kulevya ambaye Pia ni waziri Mkuu wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, KASSIM MAJALIWA amepongeza wakuu wa mikoa ya Dar es salaam, Mbeya, kilimanjaro, Shinyanga na Mwanza ambao wameanza mapambano dhidi ya dawa za kulevya, na kuongeza kuwa serikali haitamwacha yeyote atakayejihusisha na Ulimaji, usafirishaji, usambazaji na uuzaji wa dawa za Kulevya nchini.
Ещё видео!