KWANINI MAREKANI KUNA VYAMA VIWILI TU UCHAGUZI MKUU?
Kila baada ya miaka 4 wamarekani hukusanyika kwneye zoezi la UCHAGUZI mkuu kumchagua kiongozi mkuu wa taifa,rais lakini je? Unadhani wananchi ndio huamua rais ni nani? NOPE, kuna wajumbe maalumu kama tulivyokuelezea CHINA na IRAN .Ni mchakato complicated kuliko unavyoonekana ndio maana episode hii nimeamua kukuletea kwenye lugha simpo iwezekanavyo.....PICHA LINAANZA NA.....
Ещё видео!