LYRICS
Ikiwa waenda nyumbani baba aah
Ikiwa waenda nyumbani mama yangu ooh,
Kamwambie Stella siwezi kufika aah,
Umweleze Stella siwezi kufika mama eeh.
Ikiwa waenda nyumbani ndugu yangu ooh
Ikiwa waenda nyumbani dada aah,
Umwambie Stella siwezi kufika aah
Umweleze Stella nimefungwa jela dada eeh
Ikiwa waenda nyumbani mama yangu ooh
Ikiwa waenda nyumbani baba aah,
Umwambie Stella nimefungwa jela aah
Umweleze Stella mapenzi yamenizidi jela eeh
Ikiwa waenda nyumbanimama yangu ooh
Ikiwa waenda nyumbani mama aah,
Umwambie Stella nimefungwa jela aah
Umweleze Stella mapenzi yamenizidi jela eeh
Ikiwa waenda nyumbani ndugu uuh
Ikiwa waenda nyumbani dada yangu ooh,
Umwambie Stella siwezi kufika aah
Umweleze Stella siwezi kufika mama eeh
Ikiwa waenda nyumbani mama aah
Ikiwa waenda nyumbani baba yangu ooh,
Umwambie Stella siwezi kufika aah
Umwambie Stella nimefungwa jela baba eeeh
Ikiwa waenda nyumbani mama yangu ooh
Ikiwa waenda nyumbani baba aah,
Umweleze Stella nimefungwa jela aah
Umwambie Stella mapenzi yamenizidi jela eeh
Kamwambie atafute bwana mwingine,
Kwani mie siwezi kufika mama,
Kamweleze nimefungwa jela dada,
Anizalie mtoto kike mama nitaoa.
SMS 'Skiza 7742992' send to 811 to get this song as your skiza tune
For this and more of your favorite #Patriotic #Zilizopendwa #Rhumba #Lingala and #Gospel songs from your favorite artists of all time, Subscribe to the Tamasha Records channel here: [ Ссылка ]
Follow us on Social Media:
Facebook: [ Ссылка ]...
Twitter: [ Ссылка ]
Instagram: [ Ссылка ]
©2022 Tamasha Corporation Limited. All rights reserved.
#TamashaArchives
Ещё видео!