SERIKALI IMEMFUTIA LESENI YA WAKALA WA PEMBEJEO MJINI NJOMBE ANAYEFAHAMIKA KWA JINA LA ELIMICHO MHEWA KWA KOSA LA KUUZA MBOLEA ZA RUZUKU KWA BEI ZA JUU KINYUME NA BEI ELEKEZI YA SERIKALI.
HAYO YAMEBAISHWA MKUU WA WILAYA YA NJOMBE WAKATI AKIKAGUA MBOLEA KWENYE MADUKA YA MAWAKALA MJINI NJOMBE ALIYEAMBATANA NA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA YA WILAYA PAMOJA NA WATALAMU.
KATIKA ZIARA HIYO YA UKAGUZI PIA WAKALA MWINGINE AMEANGUA KILIO BAADA YA KUAMRIWA KULIPA FAINI KUTOKANA NA KUUZA MBOLEA ZA RUZUKU KWA BEI YA JUU
NA HAPA BAADHI YA MAWAKALA WAMEELEZA CHANGAMOTO YA KUSAFIRISHA MBOLEA KUWAFIKISHIA WAKULIMA VIJIJINI KUWA WANAPATA HASARA
Ещё видео!